Your cart is currently empty!
eBook – KITABU CHA MAFUNDISHO (PDF)
Enzi ya Utakaso, enzi kubwa baada ya nyakati: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya Mungu
ISBN: 978-3-96446-481-1
Article Nr.: B187sw-pdf
PDF download
Product Information
Katika nyakati hizi za misukosuko, mnapitika mambo mengi ambayo hatuna uwezo wa kuimudu. Lakini kila mmoja ana uwezo wa kuingoza “maisha yake ya kiroho”, akitaka. Ndiyo maana Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu kwa wakati wetu huu, anotoa kitabuni humu maelekezo kwa ajili ya kuingia katika Enzi Mpya, kwa kumsaidia kila mmoja kuitolea maisha yake mwelekeo mpya.
Anatuonyesha njia inayotufikisha kwenye uhuru wa kiroho, kwenye Amani, pia kwenye mawasiliano halisi na majirani,wanyama na mazingira.
Kwa hiyo tunaishi tukiwa na dhamiri kwamba Mungu, Roho huru, yupo karibu sana na kila mmoja wetu: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya Mungu.
Madondoo :
“Kila mmoja wetu anajenga mwenyewe, siku baada ya siku, utu wake. Hayo yana maana kwamba kila siku, kupitia mwenendo wetu, tunajenga mwili wetu kwa kuuongezea nguvu, au kwa kuupunguzia kiwango cha nguvu, na hayo tu kutokana na namna yetu ya kuishi inayojionyesha katika mienendo yetu.”