Spiritual Books To Learn From, and Attain Ethical Moral Values

Subscribe

Newsletter

Sign In

My Account

Cart

New

Mnaishi milele. Hakuna mauti

Sehemu za kitabu

 0,00

Includes 19% VAT
Available immediately, delivery time 3-5 workdays **

Product Information

Mnaishi milele. Hakuna mauti

Sehemu za kitabu

Kwa nini watu wengi wana woga wa jambo linaloitwa kifo?
Kwa nini watu wana hofu mwingi, woga na kukosa ukubali wa jambo linaloambatana na maisha yetu ya kibinadamu?

Dhana ya watu kuhusu kifo inayowatia hofu, wasiwasi au tena kukata tamaa ni dhana potovu na bila uhalisia, ni alama ya upuuzi na kukataa kuelewa kwao, yaani ni madhara ya uhusiano wao na maisha potovu. Sababu za woga huo ni zipi?

Mnaishi milele. Hakuna mauti
 0,00