Spiritual Books To Learn From, and Attain Ethical Moral Values

Subscribe

Newsletter

Sign In

My Account

Cart

Ndege Kigotagota

 3,90

Includes 7% reduced VAT
Available immediately, delivery time 10-14 workdays **

Product Information

Kigotagota aliogopa na hakuweza tena kuruka!
Ni nini kilichofanyika?
Ni Nani walioweza kumsaidia?
Hadithi ya Liobani kuhusu maisha ya wanyama, vibete na visaka, wasaidizi wasioonekana wa mazingira.
Liobani ni malaika kutoka Mbinguni, kiumbe cha kiroho kinachotutolea msaada mkubwa sana maishani mwetu duniani. Hata tuwe wadogo au wakubwa, moyo wetu hujaa furaha tunaposikia maelezo na hadithi zinazotufunulia mambo yanayotendeka katika ulimwengu unaoonekana na hasa zaidi katika ulimwengu usiyoonekana kwa macho yetu.

Vijitabu vidogo hivi (14×14 cm) ni vya muhimu sana kwa watoto na wazazi kwani kila mtu hupata mafundisho ya kujenga na burudani katika usomi wake!

Hadithi hii ni dondoo ya kitabu « Liobani : ninatoa ushauri- unaukubali ? »

Ndege Kigotagota
 3,90