Spiritual Books To Learn From, and Attain Ethical Moral Values

Subscribe

Newsletter

Sign In

My Account

Cart

New

Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia musa

na kufafanuliwa katika usemi wa siku hizi

 4,00

Includes 7% reduced VAT
Available immediately, delivery time 10-14 workdays **

Product Information

Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia musa

Amri za mungu hazina katazo hata moja.
Kwa kuwa Roho huru ni uhuru, hayo yana maana kwamba mwanadamu ana uhuru kabisa wa kukubali maonyo ya Mungu na kuyashika au la.
Kuona kwamba Mungu haingilii kati maisha ya mwanadamu, mtu ni mhusika wa maisha yake …
Kushika Amri za Mungu kunamfanya mtu awe huru na tajiri kiroho!

Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia musa
 4,00