Your cart is currently empty!
eBook – Jifunze kuomba (PDF)
Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu.Sala halisi humfanya mtu awe mwenye raha
ISBN: 978-3-96446-476-7
Article Nr.: B174sw-pdf
Available immediately, delivery time no delivery time (e.g. download) **
Product Information
Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu.
Sala halisi humfanya mtu awe mwenye raha
Tunapata ujuzi wa Mungu katika sala ya ndani mwetu wenyewe.
Ila, sala halisi huhitaji mafunzo, kwa kuwa, sala halisi, tunayoifanya ndani mwetu wenyewe ni mazungumzo na Mungu.
Ni wakati tunapoomba kwa moyo wote, tukijifunza kuomba kwenye kituo cha nguvu ya Kristo wa Mungu na tunasikia kweli maombi yetu, ndipo tunajihisi kubebwa na nguvu iliyopo siku zote. Ikiwa tena tunatimiza maombi yetu maishani mwetu siku zote kwa kuyajaza na yale yaliyomo, ni kusema kwa kutimiza mapenzi ya Mungu, tunakaribia basi kituo
cha upendo ndani mwetu na tunashika njia ielekeayo kwa Mungu.