Your cart is currently empty!
MUNGU anaponya
ISBN: 978-3-96446-377-7
Article Nr.: S309sw
112 pages, softbound
Available immediately, delivery time 10-14 workdays **
Product Information
Ni nani asiye na haja ya uponyaji ?
Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa inatenda kazi ndani ya kila mmoja wetu. Ni nguvu ya upendo, nguvu ya Mungu. Gabriele anatoa maelezo kitabuni humu kwamba afya na uponyaji vinategemea mpango wa msingi wa utu wetu wa ndani na kwamba hisia na fikra zetu vina ushawishi mkubwa juu ya hali yetu njema, ambayo tunaweza kuamsha ndani mwetu kwa kumgeukia Mungu, chemchem ya nguvu ndani mwetu.
Kwa kutumia maneno yenye kugusa moyo na inayojaa ujuzi, kitabu hiki kinatuelekeza jinsi ya kuamsha nguvu za kimungu ndani mwetu ili kutia nguvu nafsi na mwili wetu. Hayo haimzuii kamwe mtu kumwendea daktari wake.