Your cart is currently empty!
PDF – MUNGU anaponya
cha Gabriele
Article Nr.: BG362sw
pdf download
Product Information
MUNGU anaponya PDF
Je! Moyoni mwa mwanadamu hamna matumaini na tamaa chungu nzima kutokana na neno uponyaji!
Uponyaji huleta nafuu, faraja na ukombozi, uponyaji huleta amani mahali panapo kasoro. Neno «uponyaji» linamaanisha mchakato unaoongoza kwenye afya na sio hatima ya mchakato huu ambayo ni tendo la mtu kupona. Ni nani asiyehitaji uponyaji? (…)
Ikiwa tunataka kupata afya na kuchochea mwili wetu kupona kupitia nguvu za Roho, ni lazima tufuate sheria hizo za Uzima: Nguvu mbaya, zilizoharibika zina uwezo wa kusumbua nafsi na mwili. Kinyume chake, nguvu nzuri, safi, za kimungu huimarisha mwili na nafsi, na hivyo huleta afya. Uponyaji basi unaweza kutokea ndani na kwenda nje, kupitia nguvu za Mungu ndani mwetu.